Fursa za biashara nchi ya Thailand


Business opportunities nyingne je??
 

Kwa kuongezea nguo na viatu ect vinavyotoka Thailand ni quality nzuri ukitofautisha za mainland China, nilifanya kazi ya clearing and forwarding agency wakati huo,ndipo niligundua bidhaa za Thailand kwa ubora.
Cheers
 
Tuko pamoja mkuu usijali tutakucontact!

It seems like hii thread nimeiona too late, ila naamin bado sijachelewa, naomba mnipm wakuu tupaene uzoefu, nijue wap mmefikia na tunawezaje kushirikiana wakuu, ni mtanzania kijana mwenzenu naomba msiniache kwenye hili...
 
The best thread, Money Stunna and dikembe tunashukuru kwa kutushirikisha. Ngoja nijipange 2015 nitawatafuta.
 
Last edited by a moderator:
Na mwenda pole.......hajikwai.

Hii misemo ya kiswahili kabla ujaamua kuifata angalia faida na hasara kwanza.
Money Stunna ninakubaliana na wewe kabisa "there are two sides to every coin"

kama mimi ndio nimeona hii taarifa juzi na leo niseme ninaenda Thailand wakati sijawahi kufikiria, nimeshafikiria sehemu nyingi na nimeshaenda baadhi ya Nchi ila sikuwahi kufikiria Thailand. Lazima nijipange mkuu kifedha na kiratiba. Katika yote ninashinda na zaidi ya kushinda.
 
Last edited by a moderator:
tafuta mavumba ya nauli na pocket kidogo ya kununua vifaa ambavyo utaviona huko kisha
jipange kuweppo usimiss hii kitu ni nzuri sana kwani unajifunza kuona wenzio wamefanikiwaje katika maisha na maendeleo kibiashara mkuu nafasi kama hizi ni nadra kuonekana hapa tz jipange sawasawa best

It seems like hii thread nimeiona too late, ila naamin bado sijachelewa, naomba mnipm wakuu tupaene uzoefu, nijue wap mmefikia na tunawezaje kushirikiana wakuu, ni mtanzania kijana mwenzenu naomba msiniache kwenye hili...
 
 
hebu niwaite wenzangu wakufahamishe zaidi Kaunga, charminglady, dikembe
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia naomba kujua mmejipanga kwenda lini huko? ninategemea kupata kama 7M mwisho wa mwezi yaani baada ya masiku yasiyozidi kumi toka leo naomba unijulishe ili kama itawezekana tuondoke pamoja. Itatusaidia sana tusishangae na tutakuwa na confidence ugenini....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…