mzee wa manzese
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 670
- 216
Watu wanaenda na mtaji wa dola 3500/=
Hii kitu imenivutia sana Mimi Nina Tsh 6,000,000 nataka kuuza viatu vya like pamoja na mabegi ya kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaenda na mtaji wa dola 3500/=
shukran kwa taarifa mkuu,
nimewafahamu kibiashara kama dazeni moja ya wathai ndani ya Tz, wanaonekana kana kwamba maisha yao ya kibiashara si tofauti sana na wachina na wana magenge ya uhalifu wa kibiashashara pia.
Kwa mtu anayepeleka biashara kwao usalama ni wa uhakika?, au pia kuna sehemu za kuepuka?
Hii kitu imenivutia sana Mimi Nina Tsh 6,000,000 nataka kuuza viatu vya like pamoja na mabegi ya kike
Siku zingine huwa unakuja na point za maana sana mpwa wangu. Vipi jamaa zetu wa HSC hawana ofisi huko, maana hawa jamaa ndiyo mkombozi kwenye mambo ya usafirishaji mizigo na clearance pale bandarini!vurugu za maandamano uwa azi affect sana biashara sababu zinafanyika maeneo yenye ofisi za serikali kama wizara ya fedha etc. maeneo ya biashara na utalii hakuna maandamano. hivo biashara zipo kama kawa. mitaa yenye ofis za serikali ndio uwa kinanuka
Hii kitu imenivutia sana Mimi Nina Tsh 6,000,000 nataka kuuza viatu vya like pamoja na mabegi ya kike
Smile Money Stunna anakaa USA, labda tufuate ratiba yake; lkn kwa maelekezo nafikiri twaweza kwenda tu. Mimi nataka kuivaa hii fursa 100%. Twende pm kwa mipango zaidi, maana safari ya wawili si sawa na mmoja.