Shukrani sana mkuu Money Stunna, kuna uzi ulikuwa unahusu Biashara ya kwenda Uganda uzi huo umenisaidia sana na pia ntautumia uzi huu wa Thai kwenda huko....
Jamani tusiogope kabisa, fursa ndio hizi!!
tatiana.....ni information gani labda unapenda kujua?Kweli kabisa. Mi mwenyewe najipanga aisee...fursa zipo kibao basi tu ni kwa kuwa tunakosa right information
tatiana.....ni information gani labda unapenda kujua?
Kam jinsi ya kupata Thai visa information niliyonayo kwa sasa ni hii labda inaweza kusaidia
Kwanza Tanzania hatuna ubalozi wa Thai uko Kenya na hii ndio address yake:-
Rose avenue
Off denis priff road
City square Kenya,Nairobi
Na njia rahisi ya kupata visa ni kuomba as Tourist visa na documents requirements ni:-
-Uwe na passport with validity not less than 6 months
-Visa application form unaweza kujaza hata hapo ubalozini
-One recent (4×6) photographer
-Airticket au e-ticket
-Bank statement yenye kiasi cha Usd 700
-Na visa fee ni usd 30
Ukifika huko mkuu chunga tu usije ukalishwa vyura!!Yaani nimefurahi na kujifunza mambo hapa, kwa wastani nimeanza kuyaona maisha ya Thailand, naelekea huko kwa kozi nilikuwa nawaza maisha ya huko yako vipi lakini kwa uzi huu nimepata picha. asante Money Stunna
NishakuPM.
Kwani wewe mkuu tangu umezaliwa ulishasikia ndege ngapi zimepotelea kusikojulikana? Hiyo ni ajali kama ajali zingine tu mkuu, yakikufika basi ujue ulikuwa umeandikiwa hivyo. Hata hivyo usijali mkuu shemeji yetu tutamtunza tu ikitokea hivyo!!tatizo ni hizi ndege zimeanza kupotelea kusikofahamika, na huko Thai ni huko huko Asia
Hongereni kwa kufight kwanza mnatafuta Passport kubwa kadi ile ya chanjo then taratibu za visa ya nchi husika its very easy like that
tatiana.....ni information gani labda unapenda kujua?
Kam jinsi ya kupata Thai visa information niliyonayo kwa sasa ni hii labda inaweza kusaidia
Kwanza Tanzania hatuna ubalozi wa Thai uko Kenya na hii ndio address yake:-
Rose avenue
Off denis priff road
City square Kenya,Nairobi
Na njia rahisi ya kupata visa ni kuomba as Tourist visa na documents requirements ni:-
-Uwe na passport with validity not less than 6 months
-Visa application form unaweza kujaza hata hapo ubalozini
-One recent (4×6) photographer
-Airticket au e-ticket
-Bank statement yenye kiasi cha Usd 700
-Na visa fee ni usd 30
Mkuu vipi kuhusu electronics kama Camera, LED tv , printers na vifaa vya studio vina unafuu?
Electronics ni cheap sana kuna shopping mall maharufu sana kwa vitu vya electronic iko located na New Phetchabuti road mwendo mdogo toka Rathchathewi sky train station.Inaitwa Pantip Plaza
Hapo kuna vitu vingi vya electronics, computer software. Printer, camera. Simu, computer equipment, laptops etc.
Pantip plaza ni maharufu sana Bangkok kwa vitu vya electronic japo kwa mtaa pia utapata lakin hiyo ni shopping mall maarufu kwa electronics
leo jeshi limechukua nchi. nendeni kama mna hamu ya kupigishwa kwata ugenini
Ukifika huko mkuu chunga tu usije ukalishwa vyura!!
Kwa kweli Money Stunna katoa changamoto swafwi sana, huyu jamaa yuko vizuri kwenye kuelekeza watu fursa zilizoko kwenye nchi za wenzetu!! Big Up Money Stunna!!
TRA ndo wauaji hapa kwetu, mtu unaleta mzigo wako vizuri ngoja wakubambikizie kodi sasa mpaka unaweza kuukataa mzigo. Yenyewe yanafanya biashara bila kulipa kodi she.nzy kabisa hawa jamaa. Hivi hatuwezi kuwa magaidi na sisi tukawa tunazitia moto biashara zao hawa wezi hawa?
Mkuu nilienda mwezi April nilitembelea maeneo yote aliyosema stuna.
wakuu Thailand ipo chini ya uongozi wa jeshi kwa sasa so kabla hujasafiri jiridhishe na usalama wa huko
Vp kuhusu vifaa vya Umeme,( Electrical Materials eg Switches, breakers, isolators nk