Fursa za biashara nchi ya Thailand

Fursa za biashara nchi ya Thailand

Shukrani sana mkuu Money Stunna, kuna uzi ulikuwa unahusu Biashara ya kwenda Uganda uzi huo umenisaidia sana na pia ntautumia uzi huu wa Thai kwenda huko....

Jamani tusiogope kabisa, fursa ndio hizi!!

Kweli kabisa. Mi mwenyewe najipanga aisee...fursa zipo kibao basi tu ni kwa kuwa tunakosa right information
 
Last edited by a moderator:
Hongereni kwa kufight kwanza mnatafuta Passport kubwa kadi ile ya chanjo then taratibu za visa ya nchi husika its very easy like that

Mdada wala usigharimike kumgharamia mtu ticket, tukiamia sisi wenyewe wanawake tunaweza tukajiorganise tukaenda make humu wajasirimali tupo wengi tu.

Nafikiri tuwasiliane wale ambao tunahitaji kwenda huko ili tufanye booking mapema.

Waione: amu, Kaunga na Smile
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa. Mi mwenyewe najipanga aisee...fursa zipo kibao basi tu ni kwa kuwa tunakosa right information
tatiana.....ni information gani labda unapenda kujua?
Kam jinsi ya kupata Thai visa information niliyonayo kwa sasa ni hii labda inaweza kusaidia

Kwanza Tanzania hatuna ubalozi wa Thai uko Kenya na hii ndio address yake:-

Rose avenue
Off denis priff road
City square Kenya,Nairobi

Na njia rahisi ya kupata visa ni kuomba as Tourist visa na documents requirements ni:-

-Uwe na passport with validity not less than 6 months

-Visa application form unaweza kujaza hata hapo ubalozini

-One recent (4×6) photographer

-Airticket au e-ticket

-Bank statement yenye kiasi cha Usd 700

-Na visa fee ni usd 30
 
Aaw thank you so much Rapunzel . Yaani nazidi kufinguka akili kwa michango hii yenye kutia changamoto.
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimefurahi na kujifunza mambo hapa, kwa wastani nimeanza kuyaona maisha ya Thailand, naelekea huko kwa kozi nilikuwa nawaza maisha ya huko yako vipi lakini kwa uzi huu nimepata picha. asante Money Stunna
Ukifika huko mkuu chunga tu usije ukalishwa vyura!!

Kwa kweli Money Stunna katoa changamoto swafwi sana, huyu jamaa yuko vizuri kwenye kuelekeza watu fursa zilizoko kwenye nchi za wenzetu!! Big Up Money Stunna!!

TRA ndo wauaji hapa kwetu, mtu unaleta mzigo wako vizuri ngoja wakubambikizie kodi sasa mpaka unaweza kuukataa mzigo. Yenyewe yanafanya biashara bila kulipa kodi she.nzy kabisa hawa jamaa. Hivi hatuwezi kuwa magaidi na sisi tukawa tunazitia moto biashara zao hawa wezi hawa?
 
tatizo ni hizi ndege zimeanza kupotelea kusikofahamika, na huko Thai ni huko huko Asia
Kwani wewe mkuu tangu umezaliwa ulishasikia ndege ngapi zimepotelea kusikojulikana? Hiyo ni ajali kama ajali zingine tu mkuu, yakikufika basi ujue ulikuwa umeandikiwa hivyo. Hata hivyo usijali mkuu shemeji yetu tutamtunza tu ikitokea hivyo!!
 
Mdada wala usigharimike kumgharamia mtu ticket, tukiamia sisi wenyewe wanawake tunaweza tukajiorganise tukaenda make humu wajasirimali tupo wengi tu.

Nafikiri tuwasiliane wale ambao tunahitaji kwenda huko ili tufanye booking mapema.

Waione: amu, Kaunga na Smile

Nimeiona mamiii naomba hiyo link ya fursa za uganda
 
Last edited by a moderator:
tatiana.....ni information gani labda unapenda kujua?
Kam jinsi ya kupata Thai visa information niliyonayo kwa sasa ni hii labda inaweza kusaidia

Kwanza Tanzania hatuna ubalozi wa Thai uko Kenya na hii ndio address yake:-

Rose avenue
Off denis priff road
City square Kenya,Nairobi

Na njia rahisi ya kupata visa ni kuomba as Tourist visa na documents requirements ni:-

-Uwe na passport with validity not less than 6 months

-Visa application form unaweza kujaza hata hapo ubalozini

-One recent (4×6) photographer

-Airticket au e-ticket

-Bank statement yenye kiasi cha Usd 700

-Na visa fee ni usd 30

Ina maana ni lazima mtu asafiri kwenda Nairobi ili kupata visa??????
Au kuna agent hapa Dar ambae ana kusanya hizo applications na kuzipeleka kwa processing ya visa Nairobi.

Na je ni lazima kulipia tiket ndo ukatafute visa? Je ikikosekana na ticket umeshalipia inakuwaje????
 
Last edited by a moderator:
leo jeshi limechukua nchi. nendeni kama mna hamu ya kupigishwa kwata ugenini
 
Mkuu vipi kuhusu electronics kama Camera, LED tv , printers na vifaa vya studio vina unafuu?

Zinapatikana sana tu tena sehemu nyingi.

Electronics ni cheap sana kuna shopping mall maharufu sana kwa vitu vya electronic iko located na New Phetchabuti road mwendo mdogo toka Rathchathewi sky train station.Inaitwa Pantip Plaza

Hapo kuna vitu vingi vya electronics, computer software. Printer, camera. Simu, computer equipment, laptops etc.

Pantip plaza ni maharufu sana Bangkok kwa vitu vya electronic japo kwa mtaa pia utapata lakin hiyo ni shopping mall maarufu kwa electronics

Sehemu nyingine ni IT square (karibu na government complex), Zeer Rangsit pia zinapatikana kwa wingi sana.

leo jeshi limechukua nchi. nendeni kama mna hamu ya kupigishwa kwata ugenini

Jeshi limechukua ila hali ni ya usalama kabisa.
 
hapa ndo utajua wabongo na roho za korosho, no feedback, au wale mliokuwa mnajikusanya ndo mbwembwe zilikuwa, ziliishia ukikongoni huku kwetu tunaita mizuka.

safi stuna kwa roho safi ila wengi wetu hatuna iyo roho
 
Shukrani sana kaka kwa kushare na watanzania wenzako hii fursa ya kibiashara.

keep it up
 
wakuu Thailand ipo chini ya uongozi wa jeshi kwa sasa so kabla hujasafiri jiridhishe na usalama wa huko
 
Vp kuhusu vifaa vya Umeme,( Electrical Materials eg Switches, breakers, isolators nk
 
Ukifika huko mkuu chunga tu usije ukalishwa vyura!!

Kwa kweli Money Stunna katoa changamoto swafwi sana, huyu jamaa yuko vizuri kwenye kuelekeza watu fursa zilizoko kwenye nchi za wenzetu!! Big Up Money Stunna!!

TRA ndo wauaji hapa kwetu, mtu unaleta mzigo wako vizuri ngoja wakubambikizie kodi sasa mpaka unaweza kuukataa mzigo. Yenyewe yanafanya biashara bila kulipa kodi she.nzy kabisa hawa jamaa. Hivi hatuwezi kuwa magaidi na sisi tukawa tunazitia moto biashara zao hawa wezi hawa?

Mkuu nilienda mwezi April nilitembelea maeneo yote aliyosema stuna.
 
Back
Top Bottom