dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Mkuu...Mkuu naskia gemstones huko zinauzika vizuri,kuna wa thai huwa nawauzia nkiwabana wanipe soko la huko hawataki,wananunua mzigo mkubwa huku inamana kwao soko ni kubwa.
Ntawezaje kupata link za soko la tanzanite huko ili niwe napeleka mwenyewe
Kuhusu gemstone sikufanya tafiti na mimi sasa hivi sipo huko, labda kama utaweza kwenda ni vyema poteza hela kidogo uende ukaangalie soko. Kama utashindwa mimi ntakuwepo huko mwezi wa kumi mwishoni hivyo nitajaribu kukuangalizia then ntakupa mrejesho. Aksante sana na ubarikiwe