Fursa za biashara nchini India (tujuzane)

Fursa za biashara nchini India (tujuzane)

Tatzo huyo ni ccm watatukaba maisha yetu hata kwenye majadiliano binafsi ili tu adhma yao ya kutuletea umasikin itimie
 
Wanabodi nilikua naomba kupatiwa kuhusu biashara za nywele za kichwani za kina dada,mwenye uzoefu na India nilikua naomba utupatie taarifa,alieniletea aliniambia amechukua BOMBAY(INDIA) ila hafunguki zaidi

  • gharama za viza ya india
  • gharama za nauli
  • gharama za hoteli
  • maduka maeneo gani(ya bei nafuu)
  • kama kuna baadhi ya watanzania wanakwenda kibiahara huko wanaweza kutupatia taarifa zaidi
Maana nimepata soko zuri la nywele kutoka India nililetewa mzigo kidogo, zinakimbia sana

  • kama nitapata mtu aliyehuko itakua vizuri
  • pia naomba na changamoto zilizopo na fulsa zingine zilizopo huko
  • MSAADA TAFADHARI,nategemea dec 15 nianze safari ya kwenda huko

Malick Malick pole naona uzi umekua udhi(nasubiri na mm nirekebishwe kiswahili)
Visa ya fasta 186,000/=
Nauli emirates $1,600; Ethiopian(sina hakika sana lkn ndio umoumo) $1,300/=
Hotel unaweza pata kuanzia 40,000/= mitaa ya Jasola close na metro station so usafir uhakika pande zote za Delhi
Salojin Nagar market
Hii nilimsikia mtz 1 akiongelea kuhusiana na hizo nywele zipo original na zakutengeneza tatizo sina ufahamu sana na hiyo biashara.
 
ahsante mkuu,nashukuru nimepata mrejesho wa kutosha,
 
yaani mtoa mada hajapata ahueni la swali lake kwani bado hajasiaidia kivile
 
Back
Top Bottom