Fursa za biashara nchini India (tujuzane)

Tatzo huyo ni ccm watatukaba maisha yetu hata kwenye majadiliano binafsi ili tu adhma yao ya kutuletea umasikin itimie
 


Malick Malick pole naona uzi umekua udhi(nasubiri na mm nirekebishwe kiswahili)
Visa ya fasta 186,000/=
Nauli emirates $1,600; Ethiopian(sina hakika sana lkn ndio umoumo) $1,300/=
Hotel unaweza pata kuanzia 40,000/= mitaa ya Jasola close na metro station so usafir uhakika pande zote za Delhi
Salojin Nagar market
Hii nilimsikia mtz 1 akiongelea kuhusiana na hizo nywele zipo original na zakutengeneza tatizo sina ufahamu sana na hiyo biashara.
 

ahsante mkuu,nashukuru nimepata mrejesho wa kutosha,
 
yaani mtoa mada hajapata ahueni la swali lake kwani bado hajasiaidia kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…