Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Ukweli ni kwamba thamani ya pesa ya Zimbabwe ipo chini sana mpaka wamefikia hatua ya kususa kuitumia, pesa ya afrika kusini pamoja na dollar ndio zinatumika zaidi.
Lakini, je? hakuna fursa yoyote ile ya kibiashara?
Kama kuna mtu ameishi Zimbabwe hasa Harare anaweza kutupa uzoefu wake fursa zilizopo nchini humo.
Lakini, je? hakuna fursa yoyote ile ya kibiashara?
Kama kuna mtu ameishi Zimbabwe hasa Harare anaweza kutupa uzoefu wake fursa zilizopo nchini humo.