H Hance Chance Balance Member Joined Aug 17, 2020 Posts 10 Reaction score 8 Jul 4, 2022 #1 Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba. Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba. Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,981 Reaction score 3,604 Jul 4, 2022 #2 Biashara ya vituo vya mafuta, biashara ya magari kutoka malya to mwanza. Pia kilimo cha mpunga na shule bnafsi za English medium
Biashara ya vituo vya mafuta, biashara ya magari kutoka malya to mwanza. Pia kilimo cha mpunga na shule bnafsi za English medium