Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo urahisi wa bei ni kwa sababu ya low quality ama hata vitu vya high quality bado bei ni mchekea?Un
Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. .
hakuna nchi yenye fursa nzuri kama china kwa sasa...kanunue mzigo kwingine utaona faida itarudisha kiduchu sana.Tafuta nchi zingine na siyo china
Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.
Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.
Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi
Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.
Huo urahisi wa bei ni kwa sababu ya low quality ama hata vitu vya high quality bado bei ni mchekea?
mkuu mimi ninakupongeza sana kwa jinsi ulivyo mdadavulia muuliza swali inaonekana wewe ni mstaarabu sana na ynahekima na umeenea sawasawa kwenye siti za great thinkers nimelazimika kuwa wazi sababu siku hizi jukwaa limevamiwa na baadhi ya wahuni ambao badala ya kunsaidia mhitaji wao hutoa maneno ya kejeli HONGERA SANA KEEP IT UP !!!
hakuna nchi yenye fursa nzuri kama china kwa sasa...kanunue mzigo kwingine utaona faida itarudisha kiduchu sana.
fahamu kwanza kuwa china wanatengeneza bidhaa ambazo zinauzwa marekani pia.
uzuri wa wachina ukifika wanakuuliza kabisaa unataka quality gani? ofcoz bei zinatofautiana na ukitaka best quality. faida ni kubwa mno kwa low quality stuff (hata 10 times) ila kwa high quality inaweza kuwa 4 times etc. mie sinunui fast moving products, nanunua for personal use. so saving zaidi ya nusu ya gharama na kuzurura nayo ni dili
Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.
Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.
Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi
Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.
HSC ya aliyemwagiwa tindikali?
Ni mji gani huko China wewe unaenda?