Fursa za biashara uchina

Fursa za biashara uchina

hehehe, nilipie ticket na visa nikusindikize.
ila usimuambie paw lakini

Ticket ni nini King'asti na pesa yote hii ya kampeni inayomwagwa? Hao boda boda riders tu mambo yao poa itakuwa mm? Kwa taarifa yako ticket yako itakuwa business (ushawahi panda business wewe au ndio siku zote unatupita tumetulia na business yetu ukielekea economy?). Huko uchina kwenyewe utalala kwenye 7 star hotel. Issue ya PAW isikusumbue kabisa kwani ni mtu mzima yule na ni muumini mzuri wa wimbo wa Rich Mavoko ataelewa tu mama usikonde.
 
mweeh! hiyo ya bussiness class nimeikubali. ila hotel hata ntakayolala hutoijua. na tukifika huko usinijue, ntakupa contacts tuuu hehehe.
alaa, kumbe timu lowasa, sitaki tena
Ticket ni nini King'asti na pesa yote hii ya kampeni inayomwagwa? Hao boda boda riders tu mambo yao poa itakuwa mm? Kwa taarifa yako ticket yako itakuwa business (ushawahi panda business wewe au ndio siku zote unatupita tumetulia na business yetu ukielekea economy?). Huko uchina kwenyewe utalala kwenye 7 star hotel. Issue ya PAW isikusumbue kabisa kwani ni mtu mzima yule na ni muumini mzuri wa wimbo wa Rich Mavoko ataelewa tu mama usikonde.
 
kama mnataka nguo,pochi za wadada,viatu etc Thailand,Bangkok ni bei rahisi sana na nguo nzuri zenye ubora bei yao sawa na bure
 
Je vipi kuhusu usafirishaji, inagharimu kiasi gani? Vipi uaminifu wao? Naweza kuanzia na 10M?
 
M 10 nyingi hiyo subiri nitoke safari kama baada ya masaa 3 nitaeleza vizuri. Nasafiri sasa hivi

Pesa Stunna ukimalia safari tujuze wote hapa hapa hadhalani pliz. Tunatanguliza shukrani za dhati.
 
Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.

Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.

Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi

Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.

Very good this cn give a good start. Pm me ur namba nataka kufanya biashara after June this yr.
 
Unahitaji ticket na visa kwa dola kama 1500 hivi. Hotel and acconodation ni rate za kawaida. Tzs 50,000 hivi kwa siku kulala na chakula kawaida depending on ur choices.

Kuhusu biashara kuna kila kitu lakini bei ni rahisi mno. Sasa angalia biashara unayotaka kufanya, kama ni ya kuchuuza nguo, vyombo, electronics etc. Ila mashine mbali mbali ni bei nzuri pia, kama mashine za hotel, na vifaa vyake kama viti, covers, na vyombo vya jikoni.

Kusafirisha unamtumia agent, mostly hsc ndo cheapest na anachaji kwa ujazo. Kwa hiyo kama unaleta nguo za ndani etc ujue kusafirisha ni bei chee, belo moja laweza kuwa hata $100. Kama ni mashine ama vyombo inategemea, one cubic meter ni 400$ kwa non electronic na all electronics ni $ 500 kama sijakosea kidogo. Hii hela unailipa mzigo ukishafika bongo na inajumuisha kila kitu pamoja na kodi

Fikiria kwanza unachotaka kufanya then tufikirie kiasi cha mtaji.

Msalime swalah,wile,moodmass,makoba,philpo ernest,adoo,doto wa hongkong,joff,na makuli wote hahaha!!
 
Nikiwa kama mmoja ya watz walioishi miaka mingi katika hii nchi nawezakusema yafuatayo:-

1. China ina viwanda vya kila aina(state owned, watu binafsi na wageni)

2. Viwanda hivi ni vipo vinavyotoa bidhaa za ukweli na copy.

3. Viwanda vimejaa hadi kwenye majumba ya watu hasa nje ya miji mikubwa.

4. Kwa wale wenye mitaji mikubwa USD 100,000 na zaidi nawashauri wanunue mashine za bei nafuu then waanzishe viwanda vidogo vidogo katika mikoa ya Tanzania na si kutazama Dar pekee yake. Viwanda hivi vitasaidia kukua kwa soko la ajira na hata uchumi wetu kwa ujumla.

5. Wale wanaotaka kuanzisha viwanda msiogope, chukueni mashine ndogo ndogo tuu, zinauzwa kuanzia USD5000 na kuendelea hapa uchina. Kwa kufanya hivyo tutapunguza kuwa wategemezi wa ku import kila kitu kutoka nchi za watu. Yes, nimekutana na wafanyabiashara wa kitanzania wana hela nyingi balaa lakini wananua tshirt, jinsi na viatu kutoka china badala ya kununua mashine au kuingia ubia na viwanda vinavyozalisha bidhaa hizo hapa china. Wapo ambao wanaingiza hadi toothpick wakati mbao zimejaa africa.

6. China ime over produce, hawana soko la bidhaa zao, incase africa ikagoma kuchukua bidhaa za china basi mchina lazima achanganyikiwe. Tusisahau kwamba hawa watu wako 1.3 billion, 0.5 billion ya hii population inafanya kazi ile mbaya, kila leo wanatoa kitu kipya.

7. wale wenye mitaji midogo endeleeeni kuchukua mizigo yenu kama kawaida kutoka uchina na kwingineko ili retail market ya hapo tz isikose bidhaa muhimu. Pia nawashauri ninyi wenye mitaji midogo, mpange sehemu kubwa then mfanye biashara kama kikundi. mnawezachukua jengo kubwa somewhere,in tz, mkawagawana space kila mmoja akawa anaweka bidhaa zake hapo. mnaweka sheria zenu zitakazolinda ubora wa bidhaa zenu ili mjenge imani kwa wananchi ambao ndio wateja wenu. huku china wanafanya sana hizi biashara za makundi. kama kikundi, mnaweza weka service za ku deliver mizigo kwa wateja, service za matangazo, mnasfairisha makontena yenu kwa umoja kwa msimu mtakaojiwekea wenyewe. Pia kama kikundi mtapata fursa ya kupewa msamaha wa kodi kwa asilimia fulani na serikali kwakuwa mpo kwaajili ya nchi yenu. watz wengi hampendi kuungana, hapa mjini wengine hawataki hata kusalimia wakishajua wewe ni mtz, huu ni ugonjwa mbaya sana, lazima upewe tiba mapema.

Ndugu zangu, hakuna muda au kipindi ambacho tz kama nchi inawezakujenga uchumi mzuri hasa wa viwanda kama huu. Siku uchina wakifunga access kwenye products zao za ndani, tutakuwa tumechelewa sana.

Nasisitiza tena, nunueni mashine ndogo ndogo toka uchina, then anzishe viwanda, hatua za mwanzo ni ngumu lakini ipo siku mtatambua umuhimu wa kufanya hivyo.

Ndugu zangu, jiulizeni, ngozi ya ng'ombe ipo tz, mtz analeta china anauza kwa shidaaaa hiyo ngozi, mchina ana process ngozi hiyo then inatumika kutengeneza kiatu, sofa na viti vya magari. Mtz huyo huyo anakuja tena uchina kubeba kiatu , sofa na viti vilivyotengenezwa na ngozi yake mwenyewe, tena anauziwa kwa gharama kubwa ajabu.
Jee inaingia akili hii process. Kwanini tusinunue mashine za kutosha, tukaprocess hiyo ngozi wenyewe then wao wachina wakaja africa kubeba kwenda kwao kutengeneza viatu? Kwani kipi kigumu hapa ndugu zangu? Tena tungekuwa na jeuri, na tungeweka mkataba kabisa kwamba ukichukua ngozi yetu, bidhaa unayotoa isizidi gharama X kwa kila Y inch za ngozi unazotumia, Yeah, ni swala la kukubaliana tuu. Hapa tunge serve kiasi kikubwa cha fedha, na taifa lingekuwa na ajira nzuri tuu.

Ndugu zangu, furnture karibu zote zinatoka uchina. mbao za mchina ni dhaifu kuliko zote duniani nawezasema. Hivi kweli tumeshindwa kuanisha viwanda vidogo vidogo vya ku process mbao na kumuuzia mchina processed mbao kama anavyofanya m marekani na brasil? ni kweli tumeshindwa kuingiza mashine nzuri za furniture zilizopo hapa uchina, then tukawapa vijana wetu wafyatue furnture za nguvu?

Ndugu zangu, serikali haiwezileta maendeleo kama wananchi hatujaamua kubadilisha maisha yetu na uchumi wetu wenyewe. Hivyo basi kila mmoja wetu kwa uwezo na nafasi yake achukue hatua.

Muda umenitupa, nitatafuta siku nyingine niandike kwa ufasaha zaidi ili tuweze shiriki pamoja katika mijadala ambayo ina lengo la kututoa kiuchumi kama Taifa.

Nawakilisha
 
ahsante mkuu. Mimi natafuta scholarship ya masters. vp
 
vipi kuhusu mashine za kubangua korosho. zinapatikana?
just simple machine
 
Mkuu kumiliki kiwanda tz ni janga,
UMEME WA MGAO
OVER REGULATIONS
TRA WEZI SANA!rushwa ,mazingira yanakutia moyo kukwepa kodi kuliko kulipa kodi
Soko limejaa bidhaa duni kutoka huko china za kila aina zikiwa na bei ndoogo sana kwani hazijalipiwa kodi.
Yamenikuta

Mwanzo ni mgumu.
Haijalishi mazingira hapo tz ni magumu kiasi gani, lazima tukomae kufanya changes kwa kadri tunavyoweza.
Gharama za kuendelea kuwa dependent katika import goods ni kubwa sana kuliko gharama zinazotokana na changamoto tunazozipata hapo tz ktk sekta ya viwanda.

Ndio maana nimesema jiungeni muwe wengi, mkiwa wengi inakuwa rahisi ku propagate issues zenu kwenda serikali au malaka husika.

Nia aibu sana kuona waafrika kila kukicha wanakuja china kubeba mizigo ambayo hapo africa tungeweza kuzalisha tena kwa kiwango cha hali ya juu.

Ukipata fursa, tembelea nyumba za makumbusho za wachina za sayansi na teknolojia uone jinsi walipata shida katika ku advance katika sekata ya viwanda na teknolojia kwa ujumla.

Ni kweli bongo inakatisha tamaa sana. Lakini hakuna lisilowezekana.

Nimezinguka nchi chache duniani. Africa, hususani tz ndio nchi inayoweza kuwa mfano wa kuigwa katika maendeleo ya viwanda, teknolojia, n.k kwasababu ardhi nzuri tunayo, maji yapo, source ya energy ipo, hali ya hewa si mbaya kivile, natural resources za kumwaga.

Tuwe na uthubutu.
 
Back
Top Bottom