n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Habari wadau. Poleni kwa majukumu. Kwa wale wanaoijua Uganda, naomba kujuzwa fursa zipi za Biashara zinazopatikana kule. Asanteni
Mafuta gani Diesel au ya kula?Nenda ukachukue nguo leta bongo. Ama ukanunue mafuta leta bongo unapiga noti
MAFUTA YAPI MKUU FAFANUA.NAJE? NGUO NI RAHISI KULIKO BONGO?MTUMBA AU SPECIAL?Nenda ukachukue nguo leta bongo. Ama ukanunue mafuta leta bongo unapiga noti