Fursa za biashara zipo, vijana wa Dar es Salaam ni wazembe tu

Uchukue asali dar ukauze tabora na singida??? Mkaa uutoe dar ukauze morogoro doh..๐Ÿ˜„ Au umemaanisha vice versa mkuu
 

Si kwa wanaume tu wa Dar bali hata wanawake wa huko wako hivyo....yaani bongo fleva imewaharibu sana vitoto vya ule mji, hawafanyi kitu mpaka waambiwe na msanii wa fleva.
 
Wee jamaa itakuwa una matatizo ya akili...! Yani utoe mkaa dar upeleke mikoani??????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hata wale jamaa wa vibali wakikutana na wewe watasema huyu mtu ni chizi na watakuacha, wala hawatakukamata
 
Huyu mwenzenu anawafanya nyie HAMNA AKILI.
yaani ana waambia mchukue asali DAR-ES-SALAAM MUENDE MKAUZE SINGIDA NA TABORA.,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i think he meant viceversa ili upate kufikiria na ww, .. maana tabora ndo inakopatikana asali kwahyo unaleta dar!! ametumia mfumo wa kutuelewesha kama yule mwalimu anaewambia natoka sasa mpige kelele.. ila anamaanisha ole wenu mpige kelele!.
Hivi kweli ununue mkaa kutoka dar upeleke morogoro mtoa mada uko serious kweli?

Utoe asali dar upeleke tabora au singida hiyo faida utaipataje sasa.

Mada uliyoleta ni nzuri ila punguza utani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ