Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
NotedSiku zote fursa zipo ikiwa umeiva vizuri, ila sasa mtihani uko hapo pa kuiva, kubali kukeshea haya mavitu ujifunze balaa na pia usigande tu kwenye frontend, piga mzigo wote mpaka backend.
Soko la Afrika halijawa saturated, developers bado wanatafutwa na kulipwa vizuri, ila ni kwa walioiva sio wale wa kupoteza muda kwenye miradi ya watu.
Frontend zipo fursa online tu, offline kibongo bongo you have to fall in love with both front and back end yaani full stack developer.Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa.
Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale.
Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming japo niliacha baada ya kujiunga na chuo na pia kupoteza pc. Sasa Jana nikiwa na simu yangu nilikua nikitafuta app playstore ni kaona Kama Zina nishawishi kurudi Tena katika ulimwengu huu wa programming. Sasa ningependa kuwauliza wadau mliopo katika miji mikubwa kuwa fursa ipoje.View attachment 1840775
sawa mkuu ila online Kuna ushindani wakibabe hatariFrontend zipo fursa online tu, offline kibongo bongo you have to fall in love with both front and back end yaani full stack developer.
Hata hizo za online ni chache, bado unahitaji kupiga nyuma na mbele sio mbele tu.
Lazima ujue modern technology muhimu na aina ya client wako ushindani haukosekani ni bidii yako sio kulipua lipuasawa mkuu ila online Kuna ushindani wakibabe hatari
Developers wanatengenezaje hela vizuri kwa hapa Tanzania?Siku zote fursa zipo ikiwa umeiva vizuri, ila sasa mtihani uko hapo pa kuiva, kubali kukeshea haya mavitu ujifunze balaa na pia usigande tu kwenye frontend, piga mzigo wote mpaka backend.
Soko la Afrika halijawa saturated, developers bado wanatafutwa na kulipwa vizuri, ila ni kwa walioiva sio wale wa kupoteza muda kwenye miradi ya watu.
Kibongo bongo unawezaje kutengeneza mkwanja?Frontend zipo fursa online tu, offline kibongo bongo you have to fall in love with both front and back end yaani full stack developer.
Hata hizo za online ni chache, bado unahitaji kupiga nyuma na mbele sio mbele tu.
Host tovuti weka kazi zako live demo Fanya marketing hasa kwa instagram uwe pia linkedin tambaa Kwa njia hiyoKibongo bongo unawezaje kutengeneza mkwanja?
Kibongo bongo unawezaje kutengeneza mkwanja?
Soma Sana JavaScript hii iakusaidia Sana katika framework zinazotumia JavaScript kama jQuery,React js,Node js nk ,pia kama una basics za html na css Anza na framework ya bootstrap, kisha soma Ajax na jQuery ukiziweza hizi utakuwa vizuriJamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa.