Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

#
IMG_20250306_173224_170.jpg
 
Ili wakipigwa wanituhumu na mm?. Zile kazi kwa risk takers hawqna complain nazo ila ukikutana na vijana waliotoka Facebook na wanaobalehe wataleta nongwa. So bora tuendelee na hizi
huu uzi ni wa muhimu kwa vijana ila wazo langu HATA HIZO KAZI AMBAZO ZIPO CHINI YA MADALALI WEKA ILA KUWE NA UAMINIFU WA PESA ZA WATU NA UNASEMA KABISA HII IPO CHINI YA DALALI UTAKUA UMEOKOA VIJANA SANA
 
Anahitajika accountant (mtu wa mahesabu awekasomea), uwe unajua mambo yote yanayohusy accountant uzoefu USIPUNGUE miaka mitano mshara mnono na utapewa sehem ya kukaa tuwasiliane 0687014106 kazi ipo nungwi Zanzibar
 
Habari za muda huu,

Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja).

HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️
We are seeking a professional and proactive receptionist to join our team at ZURI ZANZIBAR located in Kendwa. The ideal candidate must have excellent communication in English and customer service skills, as well as previous experience in a similar role within five star property.

Responsibilities include greeting guests, answering phone calls, making reservations, and providing information about the resort and local area. If you like talking to guests from all around the world, have a passion for hospitality and enjoy working in a beautiful beachfront setting, we would love to hear from you.

Apply now to be part of our luxury resort team in Zanzibar. Please, send your CV to careers@zurizanzibar.com. Only selected candidates will be contacted. Recommendations are welcome. 🌴
Mkuu ukipata fursa za TRAINEE kwenye hoteli yoyote Ile naomba utujuze.
 
Anahitajika accountant (mtu wa mahesabu awekasomea), uwe unajua mambo yote yanayohusy accountant uzoefu USIPUNGUE miaka mitano mshara mnono na utapewa sehem ya kukaa tuwasiliane 0687014106 kazi ipo nungwi Zanzibar
Mkuu ukipata hizo nafasi za TRAINEE huko mashambani za kuanzia mwezi wa nne tujurishe mkuu.....elimu form 4...... English yangu ni kama ya Obama Haina makandokando kama ya kinaijeria.
 
Trainee sio kazi mkuu, ni field base learning. Inalipiwa, although umri umesogea kidogo.. mcheki jamaa hapa anaitwa Vicente 0719 029 990. Mwambie nataka trainee napendelea iwe na makazi iwe shamba.

Watakuchaji pesa ila utalipa mpaka upate kwanza. Wakikuambia golden tulip airpot wambie unataka golden palm
Mkuu na mimi nnashida na hizo kazi za trainee umri 35 elimu form six english intermediate sio fluent sana naishi Dar ikitokea fursa navuka maji chap
 
Kalaga Baho Nongwa.God bless you Mkuu, thread bola sana kesho lazima ntaanza deal job ulizo Post,ukipata nyingine endelea kutusahidia wengine hatuna connection nashida kweli na kazi Mkuu.naomba nije DM Yako Kam utajali
 
Back
Top Bottom