Calyx24
JF-Expert Member
- Jan 13, 2018
- 213
- 292
wakuu tumetumia jukwaa hili kwa kuchangia hoja mbali mbali kati ya kenya na tanzania pia ningependa kujua fursa za kibiashara ambazo tunaweza kufanya sisi kama majirani mkenya unaweza kuuliza fursa kwa watanzania pia mtanzania unaweza kuuliza kwa mkenya
Fursa hizo ni kama vile
-Biashara ya nguo
-Biashara ya nafaka
-Biashara ya vifaa vya ujenzi na kadhalika
Fursa hizo ni kama vile
-Biashara ya nguo
-Biashara ya nafaka
-Biashara ya vifaa vya ujenzi na kadhalika