Fursa za kibiashara katika fani ya Uhandisi wa Umeme (Electrical engineering)

Fursa za kibiashara katika fani ya Uhandisi wa Umeme (Electrical engineering)

goxum10

Senior Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
179
Reaction score
210
Samahani wanaJF,

Nilikuwa naomba mnisaidie na mawazo au labda uzoefu kwa namna Moja au nyingine kutokana na fursa zinazopatikana baada ya kupata cheti cha kuanzia Diploma ya Uhandisi wa umeme (Electrical engineering) katika jamii zetu za Kitanzania.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom