Fursa za kibiashara nje ya nchi.

Fursa za kibiashara nje ya nchi.

Lindembwee

Senior Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
144
Reaction score
94
Wakuu habari za weekend!

Ngoja niende moja kwa moja kwenye point.

Kama kuna mtu alishawahi kufanya biashara nje ya tanzania hasa congo, zambia au nchi yoyote iliyopo kusini mwa afrika, naomba kufahamishwa fursa zilizipo kwenye hizo nchi au bidhaa gani zipo highly demand sana ambazo mfanyabiashara kutoka tz anaweza ku export na aka make money .

Mimi binafsi nina plan ya kufanya biashara hasa zambia, sasa sijui in and out, unaweza kunipa ushahuri zaid through my wastup no +255654171555.

Na swala la vibali na ushuru lipoje kwenye borders.


Nb. Mtaji sio shida kwangu.
 
Mie bado huwa nna shida na mawazo kama haya...hiv inawezekanaje una hela lakini hujui ufanye biashara gan kweli?huon km unarisk hela zako
 
Zambia wengi watz wanafanya urembo, au Biashara ya bar.

Congo Mchele nilisikia n Biashara Nzuri wanapitia tanganyika
Vipi kuhusu vibali vya kuingiza mzigo na procedures zingine ili uwe legal kufanya biashara
 
Mie bado huwa nna shida na mawazo kama haya...hiv inawezekanaje una hela lakini hujui ufanye biashara gan kweli?huon km unarisk hela zako
Sio kwamba mtu hajui cha kufanya , ushahuri zaidi unahitajika kutoka Kwa watu wazoefu..
 
Uzi mzuri mno , tusipokuwa wachoyo basi titafunguliana milango ya fursa huenda ww unajua soko la bidhaa fulani ila pa kuipata hujui ,huenda mwenzio anajua vibali vya usafirishaji ila mtaji hana

Mwaka 2020 umekuja vizuri ni vyema tukashare kile tulichojaaliwa hivyo kuinuana kukawa ni kipaumbele cha kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom