Kwa tunduma hiyo siyo mitaji labda Kama unakuja kuwa chinga ..kuzungusha vitu vidogo vidogoWakuu habari zenu.
Naomba mwenye ABC za fursa za kibiashara hasa kwa mitaji midogo kati ya 100,000 -500,000 tsh. Kwa Mji wa Tunduma au Mwanza. Nimevutiwa kwenda kupambana maeneo hayo.
Sina ujuzi au elimu ya biashara. Lugha ni hii kiswahili na kiingereza ndizo nazimudu.
Nina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nini labda.Kama una sehemu ya kuishi mwanza huku fursa ni nyingi sana na hali ya maisha ipo chini
Swali lako la kimtego hakuna biashara utakayoweza kufanya wengine hawana/ hawaifanyiNina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nini labda.
Hii inaitwa propaganda.napita sana border tunduma,biashara kama kawa.usilete siasa hapaLabda mwanza huko kwingine watu wanakimbilia Zambia
Kuna fursa zipi mkuu,na unaweza kuanza na mtaji kiasi ganiKama una sehemu ya kuishi mwanza huku fursa ni nyingi sana na hali ya maisha ipo chini
Njoo wekeza kwenye nguo unatoa kampala unaleta hukuNina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nn labda
Fursa za mtaji mdogo na ukakuza mtaji ni kuuza matunda viatu vya mtumba viatu vya kike flat yebo yebo hivi vitu vinatoka sana ata ukiwa na mtaji wa laki unaweza kufanya bila shidaKuna fursa zipi mkuu,na unaweza kuanza na mtaji kiasi gani
Kwanza wewe unapenda kufanya biashara gani mkuu?Nina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nn labda
Nashukuru sana mkuu,kwa taarifa nitatafuta kijana kwa ajili ya kuanza kaziFursa za mtaji mdogo na ukakuza mtaji ni kuuza matunda viatu vya mtumba viatu vya kike flat yebo yebo hivi vitu vinatoka sana ata ukiwa na mtaji wa laki unaweza kufanya bila shida
Mkuu kama unataka kuanza biashara yako na ukafanikiwa vizuri nakushauri fanya mwenyewe bila kuweka mtu kama una muda ila kama auna muda tafuta kijana siyependa mambo mengi ndio muweke tofauti na hapo akuna kitu utafanyaNashukuru sana mkuu,kwa taarifa nitatafuta kijana kwa ajili ya kuanza kazi
Ni kweli mkuu,changamoto niliyonayo ni nafasi ila kuna kijana naweza kumtumia ambaye ni shemeji yangu,naweza kumpatia lak 5 kwa majaribio kwanza.Mkuu kama unataka kuanza biashara yako na ukafanikiwa vizuri nakushauri fanya mwenyewe bila kuweka mtu kama una muda ila kama auna muda tafuta kijana siyependa mambo mengi ndio muweke tofauti na hapo akuna kitu utafanya
Wewe upo mwanza sehemu ganiNi kweli mkuu,changamoto niliyonayo ni nafasi ila kuna kijana naweza kumtumia ambaye ni shemeji yangu,naweza kumpatia lak 5 kwa majaribio kwanza.