Fursa za kibiashara Tunduma na Mwanza

Fursa za kibiashara Tunduma na Mwanza

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu habari zenu.
Naomba mwenye ABC za fursa za kibiashara hasa kwa mitaji midogo kati ya 100,000 -500,000 tsh. Kwa Mji wa Tunduma au Mwanza. Nimevutiwa kwenda kupambana maeneo hayo.
Sina ujuzi au elimu ya biashara. Lugha ni hii kiswahili na kiingereza ndizo nazimudu.
 
Kwa tunduma hiyo siyo mitaji labda Kama unakuja kuwa chinga ..kuzungusha vitu vidogo vidogo
 
Nina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nn labda
 
Labda mwanza huko kwingine watu wanakimbilia Zambia
 
Fursa kama zipi ndugu. Ukiziweka mbili tatu hapa hasa za kuanza na mitaji midogo utakuwa umenisaidia sana mimi na hata members wengine wenye shida kama yangu.
 
Fursa za mtaji mdogo na ukakuza mtaji ni kuuza matunda viatu vya mtumba viatu vya kike flat yebo yebo hivi vitu vinatoka sana ata ukiwa na mtaji wa laki unaweza kufanya bila shida
Nashukuru sana mkuu,kwa taarifa nitatafuta kijana kwa ajili ya kuanza kazi
 
Mkuu kama unataka kuanza biashara yako na ukafanikiwa vizuri nakushauri fanya mwenyewe bila kuweka mtu kama una muda ila kama auna muda tafuta kijana siyependa mambo mengi ndio muweke tofauti na hapo akuna kitu utafanya
 
Ni kweli mkuu,changamoto niliyonayo ni nafasi ila kuna kijana naweza kumtumia ambaye ni shemeji yangu,naweza kumpatia lak 5 kwa majaribio kwanza.
 
Back
Top Bottom