BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Nazi
Nguo
Vitu vya umeme
Nyama ya ng'ombe na mbuzi
Changamoto ni jinsi ya kufika huko! Usafiri rahisi kibiashara ni kwa njia ya bahari
Kule ni kisiwani hivyo kunafikika kwa njia mbili tu bahari na anga basi , na si unazijua changamoto za baharini?Kwanini unasema Changamoto mkuu?
Ni kweli kuna fursa nyingi shida ni usafiriiii ni majahazi au anga
Tufafanulie changamoto za usafirishaji bahalini kupinduka,muda mwingi mzigo kuwa bahalini ,kupolwa na wahalamia au?Kule ni kisiwani hivyo kunafikika kwa njia mbili tu bahari na anga basi , na si unazijua changamoto za baharini?
Hii inaonesha kuwa watz wengi tunatumia nguvu kubwa katika masuala ya ngono kuliko masuala mengine muhimu kama haya.Yani acha thread kama watu tunakaa kuona majibu ya watu lakini holaa..ingekua thread ya ngono hapa reply zingekua zimetapika humu
Kweli kabisa yani inasikitishaHii inaonesha kuwa watz wengi tunatumia nguvu kubwa katika masuala ya ngono kuliko masuala mengine muhimu kama haya.
Ndio maana hata asilimia kubwa ya sanaa zetu zinabeba dhamira ya mapenzi tu.
Kweli kabisa yani inasikitisha
Hivi hua kuna umbali gani kutoka hapa kwetu?ila mtu mmoja afisa mifugo aliwahi kuniambia kua mbuzi wa kule ni dili sana.ni wakubwa na wanauzwa kwa mpunga mrefuNazi
Nguo
Vitu vya umeme
Nyama ya ng'ombe na mbuzi
Changamoto ni jinsi ya kufika huko! Usafiri rahisi kibiashara ni kwa njia ya bahari
Hakuna umbali wa kutisha changamoto ni usafiriHivi hua kuna umbali gani kutoka hapa kwetu?ila mtu mmoja afisa mifugo aliwahi kuniambia kua mbuzi wa kule ni dili sana.ni wakubwa na wanauzwa kwa mpunga mrefu