The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Nikifika dodoma,kuja hombolo napanda gari gani?Mkuu kwa ushauri Tenga muda uje hombolo u survey kwanza utakua na maamuzi mazuri juu ya bustani.
Asante sana.Lile ni jiji, lazima mahitaji yatakuwa ni makubwa.
Nakutia moyo, endelea na wazo lako. Zingatia...
Karibu sana Dodoma,vizuri ununue eneo pembezoni mwa mji na unatoboa kisima na mambo yanasonga.Wakuu amani iwe kwenu.
Naomba nisaidiwe kujua fursa za mazao ya bustani mkoani dodoma, yaani je uhitaji upo wa mbogamboga kama mchicha, chainizi, spinach, majani ya kunde n.k.
Naomba pia kujua maeneo gani wanakodisha mashamba ya bustani, hasa panapopatikana maji kwa wingi, bei zake, barabara ikoje.
Nilitaka kuhamia Dodoma, nikafanye kazi hiyo sasa kabla ya kwenda ningepata taarifa hizi ingenisaidia nipango yangu.
Asanteni.
umbali kutoka sokoni had hombolo wasatan km 26 iv barabara ipo vzur uzuri ni kwamba hombolo kuna bwawa ambalo litakusaidia katika umwagiliaji vile vile mashamba utapata kwa gharama nafuu tafauti na sehem zingine mkuuNikifika dodoma,kuja hombolo napanda gari gani?
Halafu kutoka dodoma mjini hadi hombolo ni muda gani mkuu?
Natamani soko langu liwe Dodoma mjini, nahisi kuja mahitaji mengi pale japo sina uhakika.
Hv gharama za kukodi eneo la nusu ekari zinaweza kucheza kwenye shilingi ngapi?umbali kutoka sokoni had hombolo wasatan km 26 iv barabara ipo vzur uzuri ni kwamba hombolo kuna bwawa ambalo litakusaidia katika umwagiliaji vile vile mashamba utapata kwa gharama nafuu tafauti na sehem zingine mkuu
inategemea na eneo lakn haiwezi kuzd 300,000Hv gharama za kukodi eneo la nusu ekari zinaweza kucheza kwenye shilingi ngapi?