Fursa za mikopo midogo midogo zipo wapi?

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Habarini wandugu kutokana na hali halisi ya maisha hapa tz n kweli Uchumi umekaa vibaya kwenye baadhi ya watu tulio wengi ebu tujuzane/tupeane taarifa ni wapi haswa tunaweza enda na kupata mikopo ili midogo midogo ili tuweze kujinasua katika biashara mdogo au ukulima mdogo ili kubadili hali hii ya maisha.

Naomba tujuzane wapi au taasisi gani inatoa fedha au vifaa vya kazi, shambani ili kukuakishia lengo la kujinasua kwenye umaskini.
 
Kama una biashara na unataka kukuza biashara yako na una nyumba nenda Amana bank wako poa sana
 
Mkuu naona wewe ungemwagika kuwa unatoa kiasi flani kwa dhamana ya vitu vya aina flani kwa kila kiwango na hali ya hadhi ya dhamana kulingana na kiasi
Yeah nafanya kwa riba km vipi nione inbox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…