Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Habarini wandugu kutokana na hali halisi ya maisha hapa tz n kweli Uchumi umekaa vibaya kwenye baadhi ya watu tulio wengi ebu tujuzane/tupeane taarifa ni wapi haswa tunaweza enda na kupata mikopo ili midogo midogo ili tuweze kujinasua katika biashara mdogo au ukulima mdogo ili kubadili hali hii ya maisha.
Naomba tujuzane wapi au taasisi gani inatoa fedha au vifaa vya kazi, shambani ili kukuakishia lengo la kujinasua kwenye umaskini.
Naomba tujuzane wapi au taasisi gani inatoa fedha au vifaa vya kazi, shambani ili kukuakishia lengo la kujinasua kwenye umaskini.