Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Nakubaliana na ww, sehemu za kusoma nzuri binafsi naamini ni ulaya na marekani au Canada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilienda kwao pale ni mtz ceo afu mbona sema tu vigezo nilikuw sina nmeonganisha shule mpaka masters so sina experience akanambia Canada watakataa alinijibu vizur tu ata kabla sijaanza process
Hao edufyx vipi mkuu? Ulifanikiwa kuwa tumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…