Cainan
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 461
- 540
Habarini Wana EAC
Mimi nmekuwa msomaji wa mada nyingi sana ambazo zimekuwa zikianzishwa katika section ya forum hii
Kikubwa zaidi nilicho observe ni mashindano. Tz vs Kenya nyingi mno katika aspect tofauti ila kwa watu wapenda fursa au exposure katika eneo letu la East Africa kama vijana wenye ndoto ya kubadilisha uelekeo wa nchi zetu na maendeleo kiumjula
Ningependa tu focus katika fursa ambazo tunaweza nufaika nazo katika nchi zetu za East Africa
Ile dhana ya ubinafsi ndio inayotuangusha watu weusi (unyumbani). Angalia Leo hii China na USA na big powers nyingine zinavyotumia fursa au opportunity za kuwekeza katika nchi nyingine lakini kwa watu weusi hili jambo kidogo halijachukuliwa umakini mkubwa
Kwa kutambua hayo. NAOMBENI NDG ZANGU WA KENYA, UUGAND, TZ NA NCHI NYINGINE ZA UKANDA WA EAST AFRICA TUWEKE AU TUJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI AMBAZO WAFANYABIASHARA WA NCHI ZOTE WANAWEZA VUTIWA NA WAKAWEKEZA
AYA MASUALA YA KUTAMBISHIANA SIJUI HAVE AND HAVE NOT hayatusaidii sana na sioni kama Kuna umuhimu hasa kwa sisi vijana kujikita huko
Hivyo kama kuna exhibitions maalum ambazo hufanyika katika nchi zetu ambazo huongelea fursa za biashara au hukutanisha wafanyabiashara ningependa tujuzane Ili tufungue mipaka na kupelekea ukuaji wa kiuchumi either individual au countrywide
Hayo ni maoni yangu, najua people think ddifferen
KARIBUNI KWA IDEAS ZENU KWA MAENDELEO YETU