Babeshi Mwamba
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 196
- 39
habari zenu wakuu.
napenda kuchukua nafasi hii kuwashawishi hasa vijana wenzangu wanao hangaika kung'ang'ania town wakati kuna deal kibao vijijini.
1:ukubaliane na uhalisia wa maisha yenyewe ya kijijini
2:kijijini maeneo ya kulima yapo mengi mtaji sio issue ukiwa na ishu ndogo ndogo kipindi cha msimu unapiga bao
3:ujiamini unaweza,utafanikiwa na
nia ya ujasiri ndio kila kitu
4:vijana tuache uyoh yoh ubishoo!!!!