fursa zipo vijijini

fursa zipo vijijini

Babeshi Mwamba

Senior Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
196
Reaction score
39
habari zenu wakuu.
napenda kuchukua nafasi hii kuwashawishi hasa vijana wenzangu wanao hangaika kung'ang'ania town wakati kuna deal kibao vijijini.
1:ukubaliane na uhalisia wa maisha yenyewe ya kijijini
2:kijijini maeneo ya kulima yapo mengi mtaji sio issue ukiwa na ishu ndogo ndogo kipindi cha msimu unapiga bao
3:ujiamini unaweza,utafanikiwa na
nia ya ujasiri ndio kila kitu
4:vijana tuache uyoh yoh ubishoo!!!!
 
kweli kaka niambie wewe upo kijiji gani nataka unismulie km hautajali call me at 0719666099
 
unapopewa wazo usitake mtoa wazo awe mtekelezaji mkuu..kama kijana chukua wazo fanyia kazi..kiufupi huwo ndio ukweli..fursa bora na pekee kwa sasa zimebaki vijijini..Pinda mwenyewe anamradi wanyuki upo kijijn,amini usiamini periferial econoy is what made the central economy.
 
Yeah lakini si mtushirikishe wana ambao tayari mpo huko mmeshapafahamu fresh kuliko sisi kuanza kutafuta wapi ni wapi si bora mtusave hiyo cost kwa kutupa go ahead na mchanganuo wakubwa!
 
shida jamvi hili tunashindwa kulitumia..chamsingi ukiona kunamtu kaongea jambo linakuhusu,fanya mawasiliano yaliyo bora ili aweze kuwa mwenyeji wako ikikubidi kwenda huko.,na nivema mtu kutembea nakujifunza mengi,.ukisikia netwark ndo kupitia hapa.kw ss mi ninamwenyeji lindi (ufuta)mbozi (maharage)hvyo nawashauri tutumie vyema jukwaa hili.
Nic nght guys.
 
Back
Top Bottom