Fursa

Fursa

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
410
Reaction score
987
Kupata wazo la biashara na kuanza kulifanyia kazi baadae liwe na mafanikio ni jambo ambalo linawatesa watu wengi sana

Natoa offer kwa wale wote ambao wanakiasi cha pesa lakini bado jinsi ya kuapata mchanganuo wa biashara yenye kuleta faida ni tatizo, wanitafute

ukiwa na 10m ukiwekeza kwangu ntakua nakulipa 10% kila mwezi hadi hapo utakapoamua kuchukua pesa zako, ambayo ni sawa na shilingi 1,000,000 kila mwezi , kiwango cha chini cha uwekezaji ni sh 5,000,000 ambayo ni sawa na sh 500,000 kwa mwezi
 
Akili ni nywele

Duuuh...kusema ni rahis sana..

Vipi taratibu za kisheria zitafuatwa kwenye makabidhiano ya hela ..kwamba ukishindwa kulipa tena kwa wakati unaenda ndani
 
Wahenga wanasema ukiona unaitiwa fursa....basi wewe ndio fursa....
 
Duuuh...kusema ni rahis sana..

Vipi taratibu za kisheria zitafuatwa kwenye makabidhiano ya hela ..kwamba ukishindwa kulipa tena kwa wakati unaenda ndani
taratibu zipo mkuu,
 
Back
Top Bottom