aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 313
- 486
Biashara nyingi tatizo huwa ni wateja lakini kwa samaki na madini ni tofauti wateja wanakuwepo lakini bei ndio huwa changamoto kushuka na kupanda kuendana na upatikanaji
Biashara ya samaki kwa mikoani inalipa sana ukipata centa nzuri mfano kwa daresalaam ukiweza kupata kijana awe anakuuzia kwa kutembeza kwa vibanda vya mama ntilie kwa siku akiuza samaki 14 ambao ni wastani wa kg 20 kila samaki ukamkata vipande 6
6x14= 84
kila kipande ukiuza 2000
84x2000= 168,000
Hapo tufanye mzigo umeutumiwa kwa 5500-6000 kwa kg 1 utakuwa umetumia 110,000 ama 120,000 hapo faida yako ni 48,000 ama 58,000 ambayo utaipata kwa siku ata ukiuza kipande kwa 1800 -1500 bado utapata faida nzuri. Hii ni kwa kipindi ambacho bei ipo juu hivyo bei ikishuka na wewe unapunguza bei kwa kila kipande cha samaki.
Ukiwa na vijana zaidi ya mmoja maeneo tofauti na ukawa na uhakika wa kupata samaki kazi inakuwa ya uhakika
Kwa aliyepo serious katika biashara hii ya samaki mnakaribishwa kwa kutoa oda zenu za samaki hasa sangara na sato pia kwa kamongo na mumy wapo kwa uchache sio wa uhakika sana katika ziwa Victoria.
Kwa waliopo mikoani hasa Shinyanga, Singida, Manyara na Arusha, Dodoma ,Tabora Morogoro, Pwan na DSM ni rahisi kutuma kama uko mkoa tofauti toa oda yako tutaona namna ya kukufikishia mzigo
Karibuni