Fury after Kamukunji police detain Robert Alai for 'publishing sensitive story'

Yes, wapo wanaoweka fake news labda hata na huyo Alai nawekaga fake news. But this time ameweka na picha kabisa to support his claim. Najuwa ni kitu sensitive na inahusu first family, lakini hata polisi wameshindwa kuendelea kumshika kwasababu hajatenda kosa.
kiukweli Alai sijaona makosa ila wacha tuone vile kutaenda...unajua amekamatwa na polisi spesheli wanaoitwa SCPU...special crimes prevention unit...huwezi ukajua, pengine wao wanaiona kama habari inayoweza kuzua ghasia...hey they are the specialists..not us..so we cant really tell them how to do their job...who to arrest and who not to arrest...
 
nasema tu ukweli wala sina nia ya kuingilia mambo ya watanzania...mmeleta uzi unaozungumzia freedom ya wanahabari...nami nawakilisha maoni yangu kuhusu rais wenu...ina maana ile show ya XYZ haiwezi ikafanya kazi huko Tz? huo ni ungwana kweli? Gado si ni wenu? ila akichora anachorea huku Kenya na wala sio huko maana atawekwa ndani mara moja...that is not the way to go...thats why he is a dictator...Magu ni rais mzuri sana kwa bidii na kupinga maovu kama kupiga dili ila ukija kwa demokrasia, ana madoa mengi mno...usishangae akisimama tena baada ya miaka kumi kama Mu7 na Kagame...
Hivi kuna watu wasanii East Africa kama wakenya? Mnapenda kuionyesha dunia kwamba kila kitu kiko sawa. Ila mtaumbuka maana mambo mengi hayaendi sawa

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa hawataki kabisa kukubali kuwa anayewaongoza, ngazi ya juu kabisa, ni dikteta! Very laughable! C'mon on, wake up and smell the coffee man!
 
Hawa bloggers huwa wachumia tumbo, wengi huwa hawana uzalendo na ni vigumu kujua misimamo yao. Huyu Alai aliishi kwa kuanika kila tatizo la serikali, mengine alikua anaongeza chumvi na viungo vyote, nakumbuka siku fulani alibadilisha picha kwenye photoshop ili kuonyesha kwamba nguzo za SGR zimeanza kuanguka. Ni watu hatari sana kwa jamii wasipofuatiliwa kwa makini.

Uhuru wa maoni upo na umelindwa kwenye katiba yetu na wengi wetu huwa tunautumia bila wasiwasi wowote, lakini kwa yeyote anayevuka mpaka, inabidi awekwe sawa maana utengamano bado uko hafifu Kenya hivyo inachukua juhudi kidogo tu kuwasha kiberiti na kuichoma nchi.
Sijui alichokifanya huyu Alai, nafikiri usalama wa taifa wenyewe watakua na majibu, ni jamaa ambaye huwa anayumba sana na vigumu kumuelewa, akilipwa na Jubilee anapayuka dhidi ya NASA, vile vile NASA wakimlipa anageuza kibao dhidi ya Jubilee. Japo pia polisi wasitumiwe kumnyanyasa, akivunja sheria ashughulkiwe, lakini vinginevyo aachiwe.
 
Ndio hapo utuelewe tunapowachukulia hatua wachochezi na huku kwetu. Ukiachia uhuru wa hovyo kwa watu wenye ushawishi kama huyu unaweza kuleta machafuko ndani ya kivuli cha 'uhuru wa kujieleza'.
 
Breaking the law for publishing Kenyatta's family photo, or saying there was a death in the Kenyatta's family? Isn't that private matter?
Whoever took the photo was so close to the former first lady, and indeed you can see the shock/surprise on her face when the picture was taken. That might have been a security lapse that was being investigated.
 
I hope they got what they we're looking for, if not, then that was waste of time and taxpayers money.
 
nasema tu ukweli wala sina nia ya kuingilia mambo ya watanzania...mmeleta uzi unaozungumzia freedom ya wanahabari...nami nawakilisha maoni yangu kuhusu rais wenu...ina maana ile show ya XYZ haiwezi ikafanya kazi huko Tz? huo ni ungwana kweli? Gado si ni wenu? ila akichora anachorea huku Kenya na wala sio huko maana atawekwa ndani mara moja...that is not the way to go...thats why he is a dictator...Magu ni rais mzuri sana kwa bidii na kupinga maovu kama kupiga dili ila ukija kwa demokrasia, ana madoa mengi mno...usishangae akisimama tena baada ya miaka kumi kama Mu7 na Kagame...
Gado was also fired from Nationmedia under instructions from Uhuruto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaambiwa Kenya ina demokradia na uhuru wa kujieleza. Huyu Mluo aliwaamini Kikuyu akafikiri watamlinda, kaachwa njia panda kweupe.
Kwa watu kama wewe ,Kenya is damned if it does and damned if it doesn't -there's no middle ground or objectivity.
 
Its very difficult to associate the word Middle ground with Kenya. The election you just had shows this with the way voting was divided.
 
Back
Top Bottom