Fuso

Fuso

Mpigadili Tz

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
1,093
Reaction score
2,046
Habari Wakuu, nina maswali mawili kwenu

1. Kuna Gari aina ya Fuso hii Gari ikiwa inatembea alafu Dereva akafunga Break ya ghafla hii Gari inazima japo kakanyaga Clutch (maana inakua katika Gia) naomba kujua tatizo ni nini?

2. Kuna uwezekano wa Gari ukamaliza Gia zote na ukikanyagia RPM ikafika zaidi ya 20 japo Gia umemaliza?

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom