Futari ni nini? Kwanini watu wengi wanafuturisha Wasiofunga Ramadhan?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE

Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
 
uchoyo ni kitu ngumu na mbaya sana. Inaumiza wachoyo wengi pale wale walio wema wanapoamua kutoa kwa wengine 🐒
 
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE

Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Kimekuwa chakula cha kutafutia umaarufu na uchawa
 
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE

Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Wanafuturishwa mafisadi wasio funga na wasanii wenye majina. Walio na uhitaji wa hiyo futari huku Temeke wanafuturi kwa vipande vya mihogo, magimbi na uji wa sembe.
 
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE

Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Futari = kifunguwa kinywa kwa waliofunga.

Ambao hawajafunga wanakula hawafuturu.
 
Huyo anadowea tu popote yupo,iwe misiba,iwe eid iwe pasaka iwe futari ye yumo tu.
 
Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE

Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Wengine wanatafuta kulishana unga unga hatari sana na urafiki wa kinafiki
 
Back
Top Bottom