Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
uchoyo ni kitu ngumu na mbaya sana. Inaumiza wachoyo wengi pale wale walio wema wanapoamua kutoa kwa wengine 🐒Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Wakina FaizaFoxy na Malaria 2 wanafahamu vizuriNaomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Malaria 2 mwenzako ni mwarabu mtarajiwa. Ni jeusiii tii lakini ana bonge la sijdah pajini licha ya uweusi wake inaonekana.
Kimekuwa chakula cha kutafutia umaarufu na uchawaNaomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Wanafuturishwa mafisadi wasio funga na wasanii wenye majina. Walio na uhitaji wa hiyo futari huku Temeke wanafuturi kwa vipande vya mihogo, magimbi na uji wa sembe.Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Futari = kifunguwa kinywa kwa waliofunga.Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Kweli. Inaondoka kwenye uhalisia.Imekuwa fashion tu
Ova
Dini yenyewe siyo uhalisiaKweli. Inaondoka kwenye uhalisia.
Dini yenyewe siyo uhalisia
Wengine wanatafuta kulishana unga unga hatari sana na urafiki wa kinafikiNaomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE
Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
Haihitaji kutumia msuli kufukiriaKweli. Inaondoka kwenye uhalisia.
Wanatumia futuru kupasiana unga wa muhogoWengine wanatafuta kulishana unga unga hatari sana na urafiki wa kinafiki
Hawafururu ndio nn? Shuleni ulienda kusomea nnFutari = kifunguwa kinywa kwa waliofunga.
Ambao hawajafunga wanakula hawafururu.
Acha nyegere wrweHawafururu ndio nn? Shuleni ulienda kusomea nn