Futari ya leo jamani

rasai

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
230
Reaction score
341
habari wanajfchef, leo nmeandaa ftari ya vipopoo. skuwa na maziwa, hivyo nmepika kwa nazi, kwa vile tumefunga wameonja watoto, tusubiri jioni vtakua mkekani inshaallah. Karibuni saana, ramadhan njema.





 
vipopoo ndio mapishi gani rasai

vipopoo hutengenezwa viduara vidogodogo kwa unga aidha wa ngano, mhogo au unga wa mchele. kisha unateleka tui la nazi likichemka unavitia pamoja na sukari na iliki. Vikisha chemka kiasi waepua urojo usikauke.
Mimi nmetumia nazi, lakini waeza tumia maziwa badalayake
 
Last edited by a moderator:
Khaa hujui vipopoo
shosti weee?

Vinafanywa kwa unga wa ngano au muhogo. Hukatwa vidogo vidogo km beads
shape. Vinaungwa kwa nazi, au maziwa na sukari na hiliki.
Vitamujee

nakubaliananawe ni vitamu haswaa, tena pia waeza tumia unga wa mchele kuvipika, hutokea bomba
 
dah unanikumbusha mbal kpnd hko npo zenj cjui ln tena.

dah hivi hupikwa sana tz mikoa ya pwani na zanzibar. hata mi nlianzia kuvijua huko ila saivi nliko nkitamani hujipikia hasa ramadhan
 
Khaa hujui vipopoo shosti weee?

Vinafanywa kwa unga wa ngano au muhogo. Hukatwa vidogo vidogo km beads shape. Vinaungwa kwa nazi, au maziwa na sukari na hiliki. Vitamujee

Hio shughuli yake ndo inayonishinda kwa kweli. Kaunga kaduuchu kufanya hivo vijigololi ndo kazi!...ila kweli ukitaka cha uvungun ndo hivo tena!
 
Hio shughuli yake ndo inayonishinda kwa kweli. Kaunga kaduuchu kufanya hivo vijigololi ndo kazi!...ila kweli ukitaka cha uvungun ndo hivo tena!

Lol, basi nunua vya ready made, vinopikwa kwa maziwa na custard. Ila mie nkitaka taste nzuri nile ivo vya unga, vile vya ready made si vitamu kihivyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…