Futari ya leo jamani

Futari ya leo jamani

Lol, basi nunua vya ready made, vinopikwa kwa maziwa na custard. Ila mie nkitaka taste nzuri nile ivo vya unga, vile vya ready made si vitamu kihivyooo

Vimekaa km mpira mpira vile. Mi napenda home made pia ila nikivikuta juu ya meza kwa kuliwa tu mambo hua super!!
 
Hio shughuli yake ndo inayonishinda kwa kweli. Kaunga kaduuchu kufanya hivo vijigololi ndo kazi!...ila kweli ukitaka cha uvungun ndo hivo tena!

Heee shosti nimetengeneza tena robo unga tu nlitamani kulia naona simalizi tu bahati nlikua naburudika na mechi ya nigeria vs france....

Alafu kuna style ya kivivu unakata kama visheti ila vidogodogo sana
 
Hivo raha yake wakati wa kukata muwe at least watu watatu ivi ndo ntafanya vingi. Mana vinachosha kweli si uongo
 
Heee shosti nimetengeneza tena robo unga tu nlitamani kulia naona simalizi tu bahati nlikua naburudika na mechi ya nigeria vs france....

Alafu kuna style ya kivivu unakata kama visheti ila vidogodogo sana

Umeona eeeeh. Pole
 
Back
Top Bottom