Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Lol, basi nunua vya ready made, vinopikwa kwa maziwa na custard. Ila mie nkitaka taste nzuri nile ivo vya unga, vile vya ready made si vitamu kihivyooo
Hio shughuli yake ndo inayonishinda kwa kweli. Kaunga kaduuchu kufanya hivo vijigololi ndo kazi!...ila kweli ukitaka cha uvungun ndo hivo tena!
Vimekaa km mpira mpira vile. Mi napenda home made pia ila nikivikuta juu ya meza kwa kuliwa tu mambo hua super!!
habari wanajfchef, leo nmeandaa ftari ya vipopoo. skuwa na maziwa, hivyo nmepika kwa nazi, kwa vile tumefunga wameonja watoto, tusubiri jioni vtakua mkekani inshaallah. Karibuni saana, ramadhan njema.
View attachment 167876
View attachment 167877
View attachment 167879
View attachment 167880
View attachment 167881
Heee shosti nimetengeneza tena robo unga tu nlitamani kulia naona simalizi tu bahati nlikua naburudika na mechi ya nigeria vs france....
Alafu kuna style ya kivivu unakata kama visheti ila vidogodogo sana

Hivo raha yake wakati wa kukata muwe at least watu watatu ivi ndo ntafanya vingi. Mana vinachosha kweli si uongo
Alikuwa anapikia paka wake.
Dharau hizo