Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sasa kati ya kulinganishwa na maharage ya mbeya na kukosa mchumba ni kipi ni risk zaidi??[emoji4][emoji4][emoji4]Ili muanze kulinganisha binadamu wenzenu na maharage ya mbeya .....wanaume wengine wajinga sana
Hahaha mkuu ubavu wako nimeshaunywea supu , ulikuwa mtam balaa*"Father Lord, If My Future Wife Is In This Forum Please Direct Her To My pm Now"*
[emoji18][emoji120]
*Amen*
HaahaaaaaaaNinyi wanawake mnakosea sana, kwani kujipeleka utongozwe kuna shida gani? Wanawake wengi mnakosea hapo ndo maana unakuta mwanamke ana miaka 30 halafu hana mchumba!!......Kuokoa muda ni vyema ukajipeleka ili utongozwe, unaweza ukahamua kujitongozesha pia au unamtongoza mtu moja kwkuokoa muda nadoa urasimu!
Kulinganisha na maharage wakati ni binadamuSasa kati ya kulinganishwa na maharage ya mbeya na kukosa mchumba ni kipi ni risk zaidi??[emoji4][emoji4][emoji4]
Mwambie Ebitoke anatongoza na ni msichana, hata leo nimeona clip akiendelea kumtongoza Ben-pol..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninyi wanawake mnakosea sana, kwani kujipeleka utongozwe kuna shida gani? Wanawake wengi mnakosea hapo ndo maana unakuta mwanamke ana miaka 30 halafu hana mchumba!!......Kuokoa muda ni vyema ukajipeleka ili utongozwe, unaweza ukahamua kujitongozesha pia au unamtongoza mtu moja kwa moja ili kuokoa muda na kuondoa urasimu!
Yule wa Ben paulMwambie Ebitoke anatongoza na ni msichana, hata leo nimeona clip akiendelea kumtongoza Ben-pol..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
unahitaji wife au kimada. maana kama akija pm unamshughulikia, hata wakija mia utawashughulikiaNdio it sound good, akinifuata tu pm mi namshughulikia