The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Nahitaji future wife, awe mrefu, asiye mnene, rangi sichagui, asiwe na mtoto, awe anafanya kazi awe anapatikana mikoa ya kaskazini. Awe na umbo zuri pia umri usizidi miaka 28 .Aliyeko tayari ani Pm