Future ya combination ya Physics, Mathematics, Computer ni ipi?

Future ya combination ya Physics, Mathematics, Computer ni ipi?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Wadau kunahii combi mpya ya physics, mathematics na Computer. Hivi hii future yake katika kusoma university or advanced colleagues inawezakuwa ipi? Najiuliza kwenda PCM aun kwenda hii combi kipi ni bora.
 
PCM - Utakuwa Mlengwa Wa Civil Engineering, Mechanical Engineering, Electrical Engineering, Chemical and Process Engineering, Architecture, Mining Engineering, Petroleum Engineering, Telecommunications, IT n.k.

Pia Kwa Hiyo Nyingine Na Imani Utabase Kwenye Information and Technology Zaidi Japo Ya Baadhi Ya Course Hapo Juu Zitaingia.


Kama Hakuna Pingamizi Lolote Kwanini Usiue Ndege Wawili Kwa Jiwe Moja Ambapo Ukasoma PCM Huko Mbele Ndio Ukachagua Mlengwa Sahihi Kuliko Mapema Unachagua Mlengwa Fulani.

Pia Na Amini Kutokana Na Upya Wa Combination Katika Somo Ilo La Computer Walimu Na Syllabus Zitakazo Tumika Zitakuwa Ndio Zimeanza Kwahiyo Ugeni Na Upya Wake Kwenye Baadhi Ya Mazingira Inaweza Kukusumbua Ila Kama Upo Vyema Nenda Yeyote Hapo Na Utakuwa Sahihi.

Advance Inahitaji Kujituma Na Kujitambua Na Si Sifa Ya Shule Bali Ni Mwanafunzi Binafsi Uchangia Ufaulu Wake.
 
Back
Top Bottom