Fuvu la binadamu ndani ya Ofisi ya Diamond

Fuvu la binadamu ndani ya Ofisi ya Diamond

Kwa jinsi picha inavyoonekana, ule ni urembo tu... hata mimi nina moja dogo la aluminium, nilinunua kama urembo pamoja na V. I. Lenin

TUmekosa kazi naona... ndio maana wachache wanatusua wengine wako busy kuanalyse options za kubaki maskini while trying to drag others into their issues
 
Huyu Dogo ana mambo mengi sana mara katoboa pua,mara fuvu la binadamu.
 
Ilo ni pambo na si fuvu kama wanavosema, fuvu lenye mifupa ya binaadamu haliwezi kung'ara kama ivo na wala haina rangi ya dhahabu
 
Hiuyu Dogo ana mambo mengi sana mara katoboa pua,mara fuvu la binadamu.[/QU

.
Mtu aweye yeyote asikudanganye, picha ya mtu ni moyo wake na kiujazacho moyo ndicho kimtokacho, huwezi kuwa na moyo wa haki ikatoka hukumu ya uovu. Wala huwezi kuwa mwenye kuabudu kweli ukatoka uongo.

Kule unakoabudu pia tutaona matendo yako mwilini yanelekeana na unacho abudu na si vinginevyo. Bibilia iko wazo mtawafahamu kwa matendo yao na sio kwa maneno yao
 
Mtu aweye yeyote asikudanganye, picha ya mtu ni moyo wake na kiujazacho moyo ndicho kimtokacho, huwezi kuwa na moyo wa haki ikatoka hukumu ya uovu. Wala huwezi kuwa mwenye kuabudu kweli ukatoka uongo.

Kule unakoabudu pia tutaona matendo yako mwilini yanelekeana na unacho abudu na si vinginevyo. Bibilia iko wazo mtawafahamu kwa matendo yao na sio kwa maneno yao
Nakushauri uwe makini usije ukawa wewe unasema uongo kwa mzaha wa watu wapuuzi wanaijua nini wanafanya. Acha kutumia maneno ya Mungu kwa watu waotafuta attention za watu.
 
Nakushauri uwe makini usije ukawa wewe unasema uongo kwa mzaha wa watu wapuuzi wanaijua nini wanafanya. Acha kutumia maneno ya Mungu kwa watu waotafuta attention za watu.
Je maneno ya MUNGU yaana uongo? ndicho nilichosema na ndivyo yanavyosema. Wala simpotoshi mtu na simvutii mtu yeyote. kila mtu anakula matunda ya matendo yake na sio uongo ndivyo ilivyo.
 
Haijakatazw kwmb ukiw freemason usiombe mungu mwngne km yy anavyodai anasali na anaamini uwepo wa mungu.
Ni kwel mond ni hodar na anajituma sn ila hyo sio sbb tosha kuwa yy sio muumin w bone & skull.
Hizo salam ktk picha ni salam za kishetan yaan pyramid(pembe3).
Tayar ameshasain na dam"sold my soul to the devil"kule wakati mwngne mtu analazimishw kuingia kw vitisho ikiwemo kupotezw ktk tasnia kitu ambacho hakuna ataekubal kupotezw ilhal anafanya juhud zote za kutoka.
Ni wasanii wengi waliovunja maagano baada y kuona sehem stahil na kujikuta wakisaliti.
mfano eminem,jackson,tupac,dmx,tyson hao ni baadhi waliofelishwa na society.sababu sehem kubwa ya media na vyombo vya dola viko chini yao.yaan dunia ni yao wanafanya wanachotaka hawa masonic
 
Inaonekana mwandishi wa hii habari na wasomaji wake wote wameamini ni kweli hii kitu. Nchi imejaa vilaza kuliko ng'ombe.
 
Hilo sio fuvu la binadamu, hiyo ni mfano wake, mbona yapo mengi tu hayo. Hao jamaa wakikosa cha kuandika huwa wanajaribu kutunga lolote lile
Ni upuuzi ulopitiliza
!Yaani fuvu la binadamu! Uandishi wa kikanjanja kabisa huo.
 
Kijana ana sema ni pambo kama mapambo mengine yaweza kuwa kweli na mimi simtizami kwenye uchawi ila kwa mshangao kidogo ni kama mwaka huu ame uanza na mapambo yasiyo na muonekano wa kawaida mara Kifuvu,mara kipini cha puani na sijui nini kitafuata ila huu mwelekeo ndio unao nishangaza kidogo na sijui kama utakuwa na mwisho mzuri.
 
DIAMOND anajua kucheza na akili za waTZ, ni yeye tu aamue kuwa kati ya wasanii matajiri Afrika. kama kila kitu chake ni habari kwanini akose ubalozi,show,kuuza,kushika chati za juu, DIAMOND fulsa hiyo itumie vizuri.
Its very true dogo ni creative kinyama kitu ambacho wengine hawana. Creativity has something to with advancement. Anatambua fursa zinazojitokeza katika kila hatua na kuzitumia accordingly, so watu waache kelele zisizo na msingi.
 
Kuna model za skull ambazo zaweza kuwa plastic in nature zipo kwa ajili ya kufundishia wanafunzi wa medical field. Na huwa yanafanana na fuvu la mwanadamu halisi. Kwa hiyo inaweza kuwa ni model wala si skull halisi.
 
Kama lingekuwa fuvu kweli ilibid achukuliwe hatua za kisheria nadhan ni mfano wa fuvu tuu
 
Eti utajili wa gafla, ivi kweli kipato chake hakiendani na kazi zake? Watanzania bwana shabashi.
 
UWEZO WETU WATANZANIA KUFIKIRI HUWA UNAKOMEA KARIBU SANA. NIDHAHILI KUWA WENGI WANAOFANIKIWA HUAMBATANISHWA NA UCHAWI OR FREEMANSON. HIVI JAMANI WATANZANI MNAPENDA TUENDELEE KUWA MASIKINI KIASI ICHI? haaahaaaa..., Hii ni sawa na jama mmoja alie (afisa elimu) mkoa fulani apa Tz alie mwita mkuu wa shule mojawapo ya shule za sekondari na kumdai atoe maelezo ya kina kwa nini shule yake imefaulisha. Kumbe sisi waTZ hatupendi watu wanaoendelea maana mtu akihaso na kujikwamua tayari yeye anaitwa freemanson au mwanga. Jamani. Are we thinking Wa TZ wenzangu. Tumuache kijana d aendelee kujituma ili hatimae hata vijana wengine kama akina HAMONIZE na wengine waendelee kufight ili tulete maendeleo kwa tz jamani. Swala la mafuvu mapambo mbona yapo madukani jamaani. Ni just ornaments jamani. ebu mwacheni d' achape kazi maana mie pia naamini katika kujituma na kutafuta fulsa basi

'd piga kazi. its ok kwamba mti utoao matunda mazuri na matamu hupigwa mawe' 4 this wewe ni mti wenye matunda na mazuri pia. its true kwamba hata fighters wengine behind you wataitwa wawanga.
 
Mtu mwenye akili zake akishaona heading ya namna hiyo hawezi kununua hilo gazeti...ujinga mtupu!
 
Sijui Watanzania ni uvivu wa kufikiri ama ni IQ ndogo.Wanafikiri kila aliyefanikiwa basi ni ndumba na ni wengi sana wanadhani hivyo..Ukiwatajia Bahresa,Mengi n.k wanasema bila ndumba wasingefika pale,ukiwaelewesha ni wagumu kweli kukubali.Kuna siku moja mzee mmoja alianza kuanza kusema hata Bil Gate ni free mason na anauza dawa za kulevya.Nikamuuliza hivi inajua biashara za Software jinsi zilivyo? Wala hata hajui hata hiyo software.Nikamuuliza uwezo wa kiakili wa Bil unaujua akajibu analijua lakini hata hilo ni ndumba,nikamuuliza umeishia darasa la ngapi alivojibu nikaachana naye.
 
Back
Top Bottom