Nyaganyi2014
Senior Member
- Dec 20, 2014
- 107
- 32
Kesho tu jamaa lazima watie timu ofisini kwake ili awape maelezo kwa kina.Duuu noma hiyo si nikosa hata kisheria?goja tuone
Mtu aweye yeyote asikudanganye, picha ya mtu ni moyo wake na kiujazacho moyo ndicho kimtokacho, huwezi kuwa na moyo wa haki ikatoka hukumu ya uovu. Wala huwezi kuwa mwenye kuabudu kweli ukatoka uongo.Hiuyu Dogo ana mambo mengi sana mara katoboa pua,mara fuvu la binadamu.[/QU
.
Nakushauri uwe makini usije ukawa wewe unasema uongo kwa mzaha wa watu wapuuzi wanaijua nini wanafanya. Acha kutumia maneno ya Mungu kwa watu waotafuta attention za watu.Mtu aweye yeyote asikudanganye, picha ya mtu ni moyo wake na kiujazacho moyo ndicho kimtokacho, huwezi kuwa na moyo wa haki ikatoka hukumu ya uovu. Wala huwezi kuwa mwenye kuabudu kweli ukatoka uongo.
Kule unakoabudu pia tutaona matendo yako mwilini yanelekeana na unacho abudu na si vinginevyo. Bibilia iko wazo mtawafahamu kwa matendo yao na sio kwa maneno yao
Je maneno ya MUNGU yaana uongo? ndicho nilichosema na ndivyo yanavyosema. Wala simpotoshi mtu na simvutii mtu yeyote. kila mtu anakula matunda ya matendo yake na sio uongo ndivyo ilivyo.Nakushauri uwe makini usije ukawa wewe unasema uongo kwa mzaha wa watu wapuuzi wanaijua nini wanafanya. Acha kutumia maneno ya Mungu kwa watu waotafuta attention za watu.
Ni upuuzi ulopitilizaHilo sio fuvu la binadamu, hiyo ni mfano wake, mbona yapo mengi tu hayo. Hao jamaa wakikosa cha kuandika huwa wanajaribu kutunga lolote lile
Its very true dogo ni creative kinyama kitu ambacho wengine hawana. Creativity has something to with advancement. Anatambua fursa zinazojitokeza katika kila hatua na kuzitumia accordingly, so watu waache kelele zisizo na msingi.DIAMOND anajua kucheza na akili za waTZ, ni yeye tu aamue kuwa kati ya wasanii matajiri Afrika. kama kila kitu chake ni habari kwanini akose ubalozi,show,kuuza,kushika chati za juu, DIAMOND fulsa hiyo itumie vizuri.