Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona tunasikiliza star tv wanasema hai kwa mbowe bado hawajatangaza wanadai mpaka saa nne usiku ndio watatangaza
Jamani tusije tukajipa moyo hapa JF kwa matokeo ya uongo. Kule TBC matokeo rasmi wanatangaza kuwa mpaka sasa ni majimbo 26 tu ndo yametangazwa washindi wake na CCM wameshinda majimbo 18, Chadema jimbo 1 na CUF majimbo 7.
Naona members tunaanza kudanganyana hapa. Anyway mi ngoja niamie kwenye TV tu....hapa baadhi ya members sio credible!!