TANZIA FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

Kweli kabisa alikua mtu kiungwana Sana tofauti na Yule Peter Botha.
Yule alikua mkatili kama Jiwe.
 
Kuna watu ambao hawajui history wanamwona Kama mtu mbaya huyu mtu kwa sababu tu n kaburu, Huyu jamaa ndiye aliyeleta uhuru wa democracy na ndiye aliyeleta aman south n mwanamabadiliko na mwanamageuzi
 
Pumzika kwa amani mwana mageuzi wa RSA. Uamuzi wako ulileta mageuzi makubwa dhidi ya ubaguzi wa rangi. Nitakukumbuka kwa hilo na wapenda amani watakuenzi kwa ujasiri wako wa kusimamia unachokiamini
 
jifunze kuwatamkia wafu mambo mema, inaonekana una kinyongo au alikuachia kovu usoni
Mtu katili na mwenye roho ya chuki na visasi akifa mkisema mabaya yake kwa dahari ya miaka ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…