Lakini kama hujui, baadhi ya ofisi kule zanzibar mlangoni kwao unakuta kuna tangazo ''tafadhali vua viatu'' na hata ukiingia utamkuta mkurugenzi yuko peku. Nakumbuka pale TTCL zanzibar kuna ofisi ya kawaida tu lakini huingii na viatu. Naona labda ni mazoea ya msikitini, pia house zao ukifika mlangoni lazima utake off ur shoes. mi sishangai kwa zanzibar