FYI: Maalim Seif havai viatu ofisini.....

FYI: Maalim Seif havai viatu ofisini.....

Casa

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
329
Reaction score
157
FYI...!

IMG_0236 - Copy.JPG


photo credit: Haki Ngowi Blog
 
Lakini kama hujui, baadhi ya ofisi kule zanzibar mlangoni kwao unakuta kuna tangazo ''tafadhali vua viatu'' na hata ukiingia utamkuta mkurugenzi yuko peku. Nakumbuka pale TTCL zanzibar kuna ofisi ya kawaida tu lakini huingii na viatu. Naona labda ni mazoea ya msikitini, pia house zao ukifika mlangoni lazima utake off ur shoes. mi sishangai kwa zanzibar
 
na fungus mmezifikiria kuwa moja ya uwezekano wa sababu ya kuviacha vidole vipumue?
 
Nahis yupo sawa kabisa angekua anatembea peku hapo ingekua neno si jambo la kushangaza na kukaa kulijadili
 
Back
Top Bottom