Alipofika ni pakubwa Sana hongera kwake. Kuwa wa 10 Kati ya makipa zaidi ya 300 si haba.Kwenye tuzo za caf zinazo talajia kufanyika siku chache zijazo.Je naye Yanga atapeta mpaka tatu bora au ndo basi tena.View attachment 2816512View attachment 2816511
DiarraHivi Anaitwa dialla au diara ?
Kuna Onana piaSasa ulitaka Diarra ampiku mendy na yule kipa wa morocco aliyewalaza na viatu spain na ureno ya akina Ronaldo? Unaakili kweli wewe kolo?