G.Dialla chali Yanga yapeta

G.Dialla chali Yanga yapeta

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
699
Reaction score
1,600
Kwenye tuzo za caf zinazo talajia kufanyika siku chache zijazo.Je naye Yanga atapeta mpaka tatu bora au ndo basi tena.
IMG_20231117_144912.jpg
View attachment 2816511
 
Apongezwe hata kwa kuingia tu kwenye mchujo. Maana kuna baadhi ya magolikipa nchini mwetu wana thamani ya bilioni 3!
Cha kushangaza hata ingewekwa orodha ya magolikipa 50 bora, bado wasingekuwepo.
 
Back
Top Bottom