G. Lema akutana na wana Udom kutoka Arusha.

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,134
Reaction score
331
Mbunge wa Arusha G Lema leo jioni amekutana na wana udom wote wanaotoka Arusha. Nakuzungumza nao mambo mengi muhimu ya maendeleo ambayo msomi anatakiwa kuyafanya kutoa mchango ktk suala la katiba pia msomi hatakiwi kunyamaza pindi taifa linapoenda mrama kwani wasomi ndio wanaojua mambo mengi kulinganisha na wale ambao hawajapata fursa ya kusoma.

Baada ya hapo akashiriki chakula cha jioni pamoja nao na kuwajulia hali wanafunzi wote ambao aliwakuta cafteria wakila mda huo.

G Lema tupo pamoja ktk kuendeleza taifa lete
 

aliwalipia hela ya chakula?
 
aliwalipia hela ya chakula?

Dah kwa hilo halitawezekana kwani hawakushindwa kulipa hela ya chakula wenyewe mpaka Mh G Lema alipe.
Pia walikuwa wanafunzi wengi
 

Hivi huo muswada ndo unapitishwa kesho ama? Sababu kunahabari wanaharakati wamejiandaa kesho bungeni kwenda kuupinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…