Diamond hela anaipata sana kwa show za nje... so haoni hatari kuwapa mashabiki wake wa uswazi show za bure... je wasanii wengine ambao hawana hata show za nje wanapata wapi mtaji wa kufanya show bure?
USHINDANI na ROHO MBAYA......
G.Nako amekazia pale aliposema Ben Pol,Quick Racker,Pro Jay,Dully Sykes na wengineo.Palipo na mazur pasifiwe na sio kuendekeza chuki.Pia lazima kukubali kuzidiwa ili msanii ujifunze vema